Kizazi Kipya Podcast

kizazikipyapodcast

KIZAZI KIPYA PODCAST ni kwa wale wasio ogopa kuwa wao, Kwa wale walio tambua kuwa wao ni wenye nguvu zaidi ya walivyo ambiwa, walio tambua kuwa furaha ya kweli hutoka ndani na haitokani na hali yoyote ya nje, Kwa wale ambao badala ya kupaambana na hali za nje ili kupata amani ya moyo hugeuka na kuangalia ndani yao, Kwa wale walio amua kuishi kwa mipaka. Vilikuwepo vizazi na vizazi labda viliyajua haya na kutoyasimamia, hii ni kwa wale walio amua kuyasimamia haya, Hawa ni KIZAZI KIPYA na hii podcast ni kwa ajili yao.

About PodLP

PodLP is the leading podcast app for feature phones. With 10M+ installs in nearly every country, PodLP is available for KaiOS on the KaiStore and JioStore, as well as Cloud Phone and Android. If you're interested in promoting "Kizazi Kipya Podcast" on PodLP, contact sales@podlp.com.

Screenshots are mockup renders of PodLP for KaiOS. Actual design may vary based on platform, operating system, and app version.